Pages

Monday, February 27, 2012

JE MAJUKUMU YA NYUMBANI ZIKIWAMO KAZI NDOGONDOGO KAMA KUPIKA, USAFI NA KULEA WATOTO NI JUKUMU LA MKE NA MUME AU MKE PEKEE? TAKAKARI.....

SWALI KWA WANANDOA......

JUKUMU LA KULEA FAMILIA NA KAZI NDOGO NDOGO NYUMBANI KAMA USAFI, KUPIKA, KULEA WATOTO N.K, JE  NI JUKUMU LA MKE NA MUME AU MKE PEKEE??

WOTE WAFANYAKAZI NA WOTE WATAFUTAJI, NA WANACHOKA NA MIANGAIKO YA KUTAFUTA MAISHA ZIPI HAKI ZA KIMSINGI KWA WANANDOA HAWA?

MUME HANA HAKI YA KUMSAIDIA MKE WAKE KAZI ZA NYUMBANI? 



No comments:

Post a Comment